SlideShare ist ein Scribd-Unternehmen logo
1 von 20
Warsha ya Waandishi wa Habari
ARM Hotel – Novemba 08 – 09, 2010
Yaliyomo
 Sera ya maji 1991
 Mapitio ya sera ya maji ya 1991
 Sera ya maji ya mwaka 2002
 Malengo ya sera
 Muundo wa sera
 Huduma za maji vijijini
 Masuala ya kisera
 Watekelezaji wa sera ni nani
Sera ya Maji ya 1991
 Sera ya kwanza ya maji Tanzania
 Lengo: Maji safi na salama kwa wote ifikapo 2002
 Serikali ndio mwekezaji, mwendeshaji na msimamizi
wa miradi na mtunzaji wa rasilimali
Mapitio ya Sera ya Maji 1991
 Yalianza mwaka 1996
 Sababu – Mapungufu ya sera ya 1991
 Hali halisi ya upatikanaji maji na uendelevu
 50% wanapata maji, 30% vituo vya maji havifanyi kazi
 Kutoshirikisha kikamilifu wadau hususan wananchi
 Kutoipa umuhimu sekta binafsi ktk utoaji huduma
 Mapungufu katika mfumo wa kitaasisi na kisheria
Sera ya Maji ya 2002
 Imetokana na mapitio ya sera ya mwaka 1991
 Imeandaliwa kushirikisha wadau wote muhimu
 Imeundwa kuzingatia malengo ya dira ya taifa 2025 na
MKUKUTA
 Imeweka mfumo madhubuti na endelevu wa
kusimamia rasilimali za maji
 Pia taratibu za kisheria na muundo wa kitaasisi wa
kutekeleza sera
Malengo ya Sera
 Kushirikisha walengwa kubuni, kupanga, kujenga,
kuendesha, kufanya matengenezo na kuchangia
gharama za huduma
 Utunzaji na usimamizi endelevu wa rasilimali za maji
kwa kushirikisha wadau wote
 Kupunguza majukumu ya utekelezaji kwa serikali – ili
kusimamia, kuratibu, kushauri, kuwezesha na kutoa
miongozo
Muundo wa Sera
 Sera ina sehemu kuu tatu
i. Usimamizi wa rasilimali za maji
- kuweka na kuendeleza mfumo endelevu na madhubuti wa
kusimamia rasilimali maji
ii. Utoaji wa huduma ya maji vijijini
- Kuboresha afya za wananchi wa vijijini, kuchangia
kupunguza umasikini kwa kutoa huduma endelevu ya
maji safi, salama na ya kutosha
iii. Utoaji wa huduma ya majisafi na majitaka mijini
- Kuweka mfumo endelevu wa kutoa huduma kwa bei nafuu ili
makundi yote yafaidike
Mikakati itakayotumika katika
utekelezaji wa sera ili kufikia madhumuni ya
sera kwa maeneo ya vijijini
Madhumuni
 Upatikanaji wa huduma endelevu kwa gharama iliyo ndani ya uwezo
wa wananchi vijijini.
 Kuweka bayana majukumu na wajibu wa wadau mbalimbali.
 Kuweka mkazo wananchi kulipia sehemu ya gharama za ujenzi wa
miradi, gharama zote za uendeshaji na matengenezo ya miradi yao
 Kubadili utaratibu ili wananchi wabuni, waanzishe na kuendesha
miradi yao wenyewe.
 Kuhamasisha Sekta Binafsi kushiriki katika kugharamia, kujenga,
kuendesha na kutoa huduma ya maji vijijini.
 Kuboresha afya ya jamii kwa kuunganisha mipango ya utoaji wa
huduma ya maji, usafi wa mazingira na elimu ya afya.
Misingi ya Sera
 Maji ni hitaji la msingi na haki ya kila mtu
 Matumizi ya maji kwa ajili ya binadamu ni muhimu
kwanza
 Maeneo yenye uhaba kupewa kipaumbele cha miradi
 Maji ni bidhaa ya kiuchumi
 Kulinda na kuhifadhi vyanzo vya maji
 Huduma endelevu
Masuala ya kisera
 Ushiriki wa jamii
 Kumiliki miradi ya maji, kuchagua teknolojia, kubuni,
usanifu, ujenzi wa miradi, uendeshaji na matengenezo
ya miradi
 Kushirikisha sekta binafsi kutoa huduma ya maji
vijijini
 Serikali kuwa mdhibiti, mwezeshaji na mratibu wa
maji vijijini
 Jinsia zote kushiriki kikamilifu katika miradi ya maji
Masuala ya kisera....
 Kiwango cha chini cha utoaji huduma vijijini
 Lita 25 za maji safi na salama kwa mtu kwa siku
 Vituo vya maji viwe umbali usiozidi mita 400
 Kila kituo kuhudumia watu 250
 Udhibiti wa utoaji huduma za maji vijijini
 Wananchi kugharamia miradi ya maji vijijini
 Wananchi kuendesha miradi yao ya maji kisheria
 Kuwa na mfumo mzuri wa ufuatiliaji na tathmini ya
miradi ya maji
Ni nani watekelezaji wa sera ya
maji?
1. Wananchi
 Ndio watekelezaji wakuu. Wanapaswa
 Kubuni, kumiliki, kusimamia na kuiendesha miradi yao ya maji.
 Kulipia gharama za uendeshaji, matengenezo, ukarabati na upanuzi
wa miradiya maji
 Kulinda vyanzo vya maji na maeneo yanayozunguka vyanzo hivyo.
 Kuhakikisha kuwa kuna uwiano mzuri kati ya teknolojia
iliyochaguliwa na kiwango cha huduma na upatikanaji wa maji kwa
upande mmoja, na uwezo wa kiuchumi wa watumiaji maji wenyewe
kwa upande mwingine.
 Kutambua kuwa wanawake ni miongoni mwa wahusika wakuu
katika utoaji wa huduma ya maji vijijini.
Ni nani watekelezaji wa sera ya maji.......
2. Serikali za Mitaa
 Jukumu kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma ya
maji safi na salama.
 Hivyo ni wasimamizi na wawezeshaji wa jamii. Majukumu
yao ni;
• Kusimamia na kufuatilia upatikanaji wa maji.
• Kusimamia vyombo vya watumia maji na kuhakikisha jamii
inakusanya fedha kwa ajili ya marekebisho ya miradi ya maji
• Kuhakikisha miundombinu ya maji inalindwa, na kufanyiwa
matengenezo
• Kutoa msaada wa kitaalamu tatizo linapotokea
• Kuwezesha wanajamii kupata vipuri pale ambapo vinahitajika
Ni nani watekelezaji wa sera ya maji?....
3. Wizara ya Maji na Umwagiliaji
 Ni wasimamizi wakuu wa sera
 Majukumu yao ni
 kuandaa sera na mipango
 kuratibu, kusimamia na kutoa miongozo
 kuziwezesha halmashauri za wilaya, kukagua na
kutathimini utekelezaji wa miradi ya maji
Ni nani watekelezaji wa sera ya maji?.....
4. Mashirika binafsi na Vyombo vya habari
 Kuhakikisha sera zinawanufaisha wananchi
 Kusambaza taarifa za kisera, mipango na bajeti
 Kutoa elimu kwa umma
 Kuhamasisha ushiriki wa wananchi
 Kuwajengea uwezo wananchi ili;
 Kushiriki katika utekelezaji wa sera
 Kufuatilia utekelezaji wa sera
 Kutathmini utekelezaji wa sera
Maswali na maoni
Karibuni

Weitere ähnliche Inhalte

Empfohlen

2024 State of Marketing Report – by Hubspot
2024 State of Marketing Report – by Hubspot2024 State of Marketing Report – by Hubspot
2024 State of Marketing Report – by HubspotMarius Sescu
 
Everything You Need To Know About ChatGPT
Everything You Need To Know About ChatGPTEverything You Need To Know About ChatGPT
Everything You Need To Know About ChatGPTExpeed Software
 
Product Design Trends in 2024 | Teenage Engineerings
Product Design Trends in 2024 | Teenage EngineeringsProduct Design Trends in 2024 | Teenage Engineerings
Product Design Trends in 2024 | Teenage EngineeringsPixeldarts
 
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental HealthHow Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental HealthThinkNow
 
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdfAI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdfmarketingartwork
 
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024Neil Kimberley
 
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)contently
 
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024Albert Qian
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsKurio // The Social Media Age(ncy)
 
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Search Engine Journal
 
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summarySpeakerHub
 
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd Clark Boyd
 
Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Tessa Mero
 
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentGoogle's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentLily Ray
 
Time Management & Productivity - Best Practices
Time Management & Productivity -  Best PracticesTime Management & Productivity -  Best Practices
Time Management & Productivity - Best PracticesVit Horky
 
The six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementThe six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementMindGenius
 
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...RachelPearson36
 
Empfohlen (20)

2024 State of Marketing Report – by Hubspot
2024 State of Marketing Report – by Hubspot2024 State of Marketing Report – by Hubspot
2024 State of Marketing Report – by Hubspot
 
Everything You Need To Know About ChatGPT
Everything You Need To Know About ChatGPTEverything You Need To Know About ChatGPT
Everything You Need To Know About ChatGPT
 
Product Design Trends in 2024 | Teenage Engineerings
Product Design Trends in 2024 | Teenage EngineeringsProduct Design Trends in 2024 | Teenage Engineerings
Product Design Trends in 2024 | Teenage Engineerings
 
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental HealthHow Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
How Race, Age and Gender Shape Attitudes Towards Mental Health
 
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdfAI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
AI Trends in Creative Operations 2024 by Artwork Flow.pdf
 
Skeleton Culture Code
Skeleton Culture CodeSkeleton Culture Code
Skeleton Culture Code
 
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
 
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
 
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
 
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
 
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
 
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
 
Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next
 
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentGoogle's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
 
How to have difficult conversations
How to have difficult conversations How to have difficult conversations
How to have difficult conversations
 
Introduction to Data Science
Introduction to Data ScienceIntroduction to Data Science
Introduction to Data Science
 
Time Management & Productivity - Best Practices
Time Management & Productivity -  Best PracticesTime Management & Productivity -  Best Practices
Time Management & Productivity - Best Practices
 
The six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementThe six step guide to practical project management
The six step guide to practical project management
 
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
 
Sera ya maji ya taifa

  • 1. Warsha ya Waandishi wa Habari ARM Hotel – Novemba 08 – 09, 2010
  • 2. Yaliyomo  Sera ya maji 1991  Mapitio ya sera ya maji ya 1991  Sera ya maji ya mwaka 2002  Malengo ya sera  Muundo wa sera  Huduma za maji vijijini  Masuala ya kisera  Watekelezaji wa sera ni nani
  • 3. Sera ya Maji ya 1991  Sera ya kwanza ya maji Tanzania  Lengo: Maji safi na salama kwa wote ifikapo 2002  Serikali ndio mwekezaji, mwendeshaji na msimamizi wa miradi na mtunzaji wa rasilimali
  • 4. Mapitio ya Sera ya Maji 1991  Yalianza mwaka 1996  Sababu – Mapungufu ya sera ya 1991  Hali halisi ya upatikanaji maji na uendelevu  50% wanapata maji, 30% vituo vya maji havifanyi kazi  Kutoshirikisha kikamilifu wadau hususan wananchi  Kutoipa umuhimu sekta binafsi ktk utoaji huduma  Mapungufu katika mfumo wa kitaasisi na kisheria
  • 5. Sera ya Maji ya 2002  Imetokana na mapitio ya sera ya mwaka 1991  Imeandaliwa kushirikisha wadau wote muhimu  Imeundwa kuzingatia malengo ya dira ya taifa 2025 na MKUKUTA  Imeweka mfumo madhubuti na endelevu wa kusimamia rasilimali za maji  Pia taratibu za kisheria na muundo wa kitaasisi wa kutekeleza sera
  • 6. Malengo ya Sera  Kushirikisha walengwa kubuni, kupanga, kujenga, kuendesha, kufanya matengenezo na kuchangia gharama za huduma  Utunzaji na usimamizi endelevu wa rasilimali za maji kwa kushirikisha wadau wote  Kupunguza majukumu ya utekelezaji kwa serikali – ili kusimamia, kuratibu, kushauri, kuwezesha na kutoa miongozo
  • 7. Muundo wa Sera  Sera ina sehemu kuu tatu i. Usimamizi wa rasilimali za maji - kuweka na kuendeleza mfumo endelevu na madhubuti wa kusimamia rasilimali maji ii. Utoaji wa huduma ya maji vijijini - Kuboresha afya za wananchi wa vijijini, kuchangia kupunguza umasikini kwa kutoa huduma endelevu ya maji safi, salama na ya kutosha iii. Utoaji wa huduma ya majisafi na majitaka mijini - Kuweka mfumo endelevu wa kutoa huduma kwa bei nafuu ili makundi yote yafaidike
  • 8. Mikakati itakayotumika katika utekelezaji wa sera ili kufikia madhumuni ya sera kwa maeneo ya vijijini
  • 9. Madhumuni  Upatikanaji wa huduma endelevu kwa gharama iliyo ndani ya uwezo wa wananchi vijijini.  Kuweka bayana majukumu na wajibu wa wadau mbalimbali.  Kuweka mkazo wananchi kulipia sehemu ya gharama za ujenzi wa miradi, gharama zote za uendeshaji na matengenezo ya miradi yao  Kubadili utaratibu ili wananchi wabuni, waanzishe na kuendesha miradi yao wenyewe.  Kuhamasisha Sekta Binafsi kushiriki katika kugharamia, kujenga, kuendesha na kutoa huduma ya maji vijijini.  Kuboresha afya ya jamii kwa kuunganisha mipango ya utoaji wa huduma ya maji, usafi wa mazingira na elimu ya afya.
  • 10. Misingi ya Sera  Maji ni hitaji la msingi na haki ya kila mtu  Matumizi ya maji kwa ajili ya binadamu ni muhimu kwanza  Maeneo yenye uhaba kupewa kipaumbele cha miradi  Maji ni bidhaa ya kiuchumi  Kulinda na kuhifadhi vyanzo vya maji  Huduma endelevu
  • 11. Masuala ya kisera  Ushiriki wa jamii  Kumiliki miradi ya maji, kuchagua teknolojia, kubuni, usanifu, ujenzi wa miradi, uendeshaji na matengenezo ya miradi  Kushirikisha sekta binafsi kutoa huduma ya maji vijijini  Serikali kuwa mdhibiti, mwezeshaji na mratibu wa maji vijijini  Jinsia zote kushiriki kikamilifu katika miradi ya maji
  • 12. Masuala ya kisera....  Kiwango cha chini cha utoaji huduma vijijini  Lita 25 za maji safi na salama kwa mtu kwa siku  Vituo vya maji viwe umbali usiozidi mita 400  Kila kituo kuhudumia watu 250  Udhibiti wa utoaji huduma za maji vijijini  Wananchi kugharamia miradi ya maji vijijini  Wananchi kuendesha miradi yao ya maji kisheria  Kuwa na mfumo mzuri wa ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maji
  • 13.
  • 14. Ni nani watekelezaji wa sera ya maji? 1. Wananchi  Ndio watekelezaji wakuu. Wanapaswa  Kubuni, kumiliki, kusimamia na kuiendesha miradi yao ya maji.  Kulipia gharama za uendeshaji, matengenezo, ukarabati na upanuzi wa miradiya maji  Kulinda vyanzo vya maji na maeneo yanayozunguka vyanzo hivyo.  Kuhakikisha kuwa kuna uwiano mzuri kati ya teknolojia iliyochaguliwa na kiwango cha huduma na upatikanaji wa maji kwa upande mmoja, na uwezo wa kiuchumi wa watumiaji maji wenyewe kwa upande mwingine.  Kutambua kuwa wanawake ni miongoni mwa wahusika wakuu katika utoaji wa huduma ya maji vijijini.
  • 15.
  • 16. Ni nani watekelezaji wa sera ya maji....... 2. Serikali za Mitaa  Jukumu kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma ya maji safi na salama.  Hivyo ni wasimamizi na wawezeshaji wa jamii. Majukumu yao ni; • Kusimamia na kufuatilia upatikanaji wa maji. • Kusimamia vyombo vya watumia maji na kuhakikisha jamii inakusanya fedha kwa ajili ya marekebisho ya miradi ya maji • Kuhakikisha miundombinu ya maji inalindwa, na kufanyiwa matengenezo • Kutoa msaada wa kitaalamu tatizo linapotokea • Kuwezesha wanajamii kupata vipuri pale ambapo vinahitajika
  • 17.
  • 18. Ni nani watekelezaji wa sera ya maji?.... 3. Wizara ya Maji na Umwagiliaji  Ni wasimamizi wakuu wa sera  Majukumu yao ni  kuandaa sera na mipango  kuratibu, kusimamia na kutoa miongozo  kuziwezesha halmashauri za wilaya, kukagua na kutathimini utekelezaji wa miradi ya maji
  • 19. Ni nani watekelezaji wa sera ya maji?..... 4. Mashirika binafsi na Vyombo vya habari  Kuhakikisha sera zinawanufaisha wananchi  Kusambaza taarifa za kisera, mipango na bajeti  Kutoa elimu kwa umma  Kuhamasisha ushiriki wa wananchi  Kuwajengea uwezo wananchi ili;  Kushiriki katika utekelezaji wa sera  Kufuatilia utekelezaji wa sera  Kutathmini utekelezaji wa sera