Diese Präsentation wurde erfolgreich gemeldet.
Wir verwenden Ihre LinkedIn Profilangaben und Informationen zu Ihren Aktivitäten, um Anzeigen zu personalisieren und Ihnen relevantere Inhalte anzuzeigen. Sie können Ihre Anzeigeneinstellungen jederzeit ändern.
Kuna nyakati katika maisha ambapo unamkosa mtu fulani kiasi cha kutaka kumchukua kutoka kwenye ndoto na kumkumbatia. NYAKATI
Ota chochote utakacho; Nenda popote upendapo; Uwe vyovyote utakavyo, Kwa sababu una nafasi moja tu ya kufanya mambo una...
Hebu uwe na furaha ya kutosha kukufanya mzuri, majaribu ya kutosha kukufanya imara, Vikwazo vya kutosha kukupa ushindi,...
Wakati wote jaribu kuvaa viatu vya watu wengine, Ukihisi vinakuumiza, Inawezekana vinamuumiza na mwingine pia.
Watu wenye furaha sana sio kwamba wana vitu vizuri sana; Ila wanatumia vizuri kila kitu kinachowajia.
Furaha iko kwao waliao, kwao waumiao, kwao waliotafiti, na kwao waliojaribu, kwani ni wao pekee wanaoweza kuthibitisha ...
Upendo huanza kwa tabasamu, unakuwa kwa busu na unaishia kwa machozi .
Mustakabali ulio bora hujengwa katika kusahau yaliyopita, huwezi kuendelea katika maisha mpaka ufute kumbukumbu za maum...
Wakati ulipozaliwa, ulikuwa unalia Na kila mmoja aliyekuzunguka alikuwa anatabasamu. Ishi maisha mema ili siku utakapoku...
Hebu Mungu na akuhifadhi kati ya kiganja chake na malaika wakulinde.
UBARIKIWE! By me.
 
Nächste SlideShare
Wird geladen in …5
×

Moments Swahili Version

Swahili version of the famous forwarded email: Moments

 • Loggen Sie sich ein, um Kommentare anzuzeigen.

Moments Swahili Version

 1. 1. Kuna nyakati katika maisha ambapo unamkosa mtu fulani kiasi cha kutaka kumchukua kutoka kwenye ndoto na kumkumbatia. NYAKATI
 2. 2. Ota chochote utakacho; Nenda popote upendapo; Uwe vyovyote utakavyo, Kwa sababu una nafasi moja tu ya kufanya mambo unayotaka kufanya.
 3. 3. Hebu uwe na furaha ya kutosha kukufanya mzuri, majaribu ya kutosha kukufanya imara, Vikwazo vya kutosha kukupa ushindi, matumaini ya kutosha kukufanya uendelee mbele.
 4. 4. Wakati wote jaribu kuvaa viatu vya watu wengine, Ukihisi vinakuumiza, Inawezekana vinamuumiza na mwingine pia.
 5. 5. Watu wenye furaha sana sio kwamba wana vitu vizuri sana; Ila wanatumia vizuri kila kitu kinachowajia.
 6. 6. Furaha iko kwao waliao, kwao waumiao, kwao waliotafiti, na kwao waliojaribu, kwani ni wao pekee wanaoweza kuthibitisha umuhimu wa watu waliogusa maisha yao.
 7. 7. Upendo huanza kwa tabasamu, unakuwa kwa busu na unaishia kwa machozi .
 8. 8. Mustakabali ulio bora hujengwa katika kusahau yaliyopita, huwezi kuendelea katika maisha mpaka ufute kumbukumbu za maumivu ya moyo na yale uliyoshindwa kuyafikia.
 9. 9. Wakati ulipozaliwa, ulikuwa unalia Na kila mmoja aliyekuzunguka alikuwa anatabasamu. Ishi maisha mema ili siku utakapokufa, uwe unatabasamu na kila mmoja anayekuzunguka analia.
 10. 10. Hebu Mungu na akuhifadhi kati ya kiganja chake na malaika wakulinde.
 11. 11. UBARIKIWE! By me.

×