SlideShare a Scribd company logo
1 of 2
TAMTHILIA MAMA EE
Na ARI KATINI MWACHOFI
UTANGULIZI
Hii ni tamthilia iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. Mchezo huu
unasawiri matatizo yaliyomo katika taasisi ya ndoa katika jamii.
Ari Katini Mwachofi katika tamthilia Mama Ee anashughulikia uhusiano
wa kijinsia katika taasisi ya ndoa katika jamii yenye taasubi za kiume.
Mtoto anapozaliwa bila shaka lazima alie. Anakua akinung’unika na
anpokuwa mtu mzima yamkini huaga dunia kabla hajatosheka.
Kwenye utangulizi wa Mama Ee tunapata wanawakewatatu.
Wa kwanza ni binti mwenye umri wa miaka kumi na sita, na ni
mjamzito, amevaa matambara na amejitwika mikono kichwani huku
akilia.
Picha tuliyoipata inadhihirisha mazingira ya kukosa tumaini na hali ya
umaskini.Mwanamke wa pili ilisemekana kuwa alikuwa amevalia vizuri,
amebeba mtoto mgongoni lakini pia alikuwa akilia kwa uchungu,
kuashiria kuwa ana mambo yanayomhangaisha kisaikolojia licha ya
kuwa na uwezo.
Mwanamke wa tatu alikuwa amebeba mtoto mgongoni, kitambaa kikuu
begani na tita la kuni kichwani. Hii ilituonyesha taswira ya mwanamke
miongoni mwa jamii nyingi zenye utamaduni wa Kiafrika.
Mama Ee ni tamthilia ya masaibu katika ndoa ya Mwavita na Kinaya.
Mwavita aliolewa kasha akatumbukia kwenye lindi la matatizo
yanayopatikana kwenye baadhi ya ndoa nyingi katika jamii zetu.
Pia ni kilio cha Tenge dadake Mwavita aliyekuwa amepachikwa mimba
na George, jambo lililosababisha kutimuliwa kwa Tenge kutoka
shuleni.
Mwandishi alitumia shairi la tarbia katika utangulizi wa kazi yake.
Shairi hili ni ngonjera na pia aliwatumia wanawake hawa watatu
akidhamiria kutuonyesha kuwa duniani kuna matabaka ya wenye
nguvu na wanyonge.
Tabaka la wanyonge linajipa moyo wa subira, kutia juhudi na kupinga
unyonyaji, kutafuta uhuru, kuungana kudai haki, kujitegemea na
kukataa kutwikwa majukumu kupita kiasi, kugandamizwa, kupuuzwa
na kupigwa.
Katika kazi yake mwanamke amechorwa kuwa mwenye nguvu na
mwanamapinduzi huku akipigania hadhi yake.
Mwanamke anapigania ; haki, hadhi, usawa wa jinsia, uwezo wa
kujiamulia na elimu ya kujikomboa. Kwa mfano Mwavita na Tenge
wanakataa kuonewa na mwanamume. Hii ni kwa sababu wanaishi
katika jamii ya nomoni inayoleta hali ya umme katika kiume kama njia
ya kuwaonea wanawake.
MAUDHUI KATIKA TAMTHILIA MAMA EE
• MATATIZO YA UNYUMBA (Marital Problems)
• UBAGUZI WA KIJANA WA JINSIA YA KIKE (DISCRIMINATION
ANGAIST THE FEMALE YOUTH)
• NAFASI YA MILA NA DESTURI KATIKA NDOA (ROLE OF
CULTURAL PRACTICES IN MARRIAGE)
• UMOJA WA WANAWAKE (THE UNITY OF WOMEN)
•

More Related Content

What's hot

Ds 2203 02 cultural construction of gender and gender issues in tanzania
Ds 2203 02 cultural construction of gender and gender issues in tanzaniaDs 2203 02 cultural construction of gender and gender issues in tanzania
Ds 2203 02 cultural construction of gender and gender issues in tanzaniaAbdulrahman Mustafa Nahoda
 
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHIUHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHIshahzadebaujiti
 
Social construction of gender
Social construction of genderSocial construction of gender
Social construction of genderVIBHUTI PATEL
 
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za FasihiUhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihimussa Shekinyashi
 
Things fall apart themes
Things fall apart themesThings fall apart themes
Things fall apart themesMery Mangini
 
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penziUhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzimussa Shekinyashi
 
Northrop Frye's Archetype of Literature
Northrop Frye's Archetype of LiteratureNorthrop Frye's Archetype of Literature
Northrop Frye's Archetype of LiteratureDilip Barad
 
Representation of gender and stereotypes
Representation of gender and stereotypesRepresentation of gender and stereotypes
Representation of gender and stereotypesLiz Davies
 
Gender stereotypes
Gender stereotypesGender stereotypes
Gender stereotypesKim B
 
Meeting 12 gender
Meeting 12  genderMeeting 12  gender
Meeting 12 genderSchool
 
Mofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliMofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliGeophery sanga
 
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiKAZEMBETVOnline
 

What's hot (20)

GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO GENDER CONCEPTS - FORM TWO
GENDER CONCEPTS - FORM TWO
 
Ds 2203 02 cultural construction of gender and gender issues in tanzania
Ds 2203 02 cultural construction of gender and gender issues in tanzaniaDs 2203 02 cultural construction of gender and gender issues in tanzania
Ds 2203 02 cultural construction of gender and gender issues in tanzania
 
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHIUHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
UHAKIKI WA FASIHI ANDISHI
 
Social construction of gender
Social construction of genderSocial construction of gender
Social construction of gender
 
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za FasihiUhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
 
Things fall apart themes
Things fall apart themesThings fall apart themes
Things fall apart themes
 
Vitabu teule vya fasihi
Vitabu teule vya fasihiVitabu teule vya fasihi
Vitabu teule vya fasihi
 
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penziUhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
Uhakiki wa Tamthiliya ya Ngoswe penzi
 
Northrop Frye's Archetype of Literature
Northrop Frye's Archetype of LiteratureNorthrop Frye's Archetype of Literature
Northrop Frye's Archetype of Literature
 
MAENDELEO YA KISWAHILI
MAENDELEO YA KISWAHILIMAENDELEO YA KISWAHILI
MAENDELEO YA KISWAHILI
 
Mofolojia
MofolojiaMofolojia
Mofolojia
 
Representation of gender and stereotypes
Representation of gender and stereotypesRepresentation of gender and stereotypes
Representation of gender and stereotypes
 
Gender stereotypes
Gender stereotypesGender stereotypes
Gender stereotypes
 
Meeting 12 gender
Meeting 12  genderMeeting 12  gender
Meeting 12 gender
 
Feminist theory
Feminist theoryFeminist theory
Feminist theory
 
Mofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliMofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahili
 
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
 
Feminism discourse
Feminism discourseFeminism discourse
Feminism discourse
 
Gender-based communication
Gender-based communicationGender-based communication
Gender-based communication
 
Uhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simuliziUhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simulizi
 

Tamthilia MAMA Ee

  • 1. TAMTHILIA MAMA EE Na ARI KATINI MWACHOFI UTANGULIZI Hii ni tamthilia iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. Mchezo huu unasawiri matatizo yaliyomo katika taasisi ya ndoa katika jamii. Ari Katini Mwachofi katika tamthilia Mama Ee anashughulikia uhusiano wa kijinsia katika taasisi ya ndoa katika jamii yenye taasubi za kiume. Mtoto anapozaliwa bila shaka lazima alie. Anakua akinung’unika na anpokuwa mtu mzima yamkini huaga dunia kabla hajatosheka. Kwenye utangulizi wa Mama Ee tunapata wanawakewatatu. Wa kwanza ni binti mwenye umri wa miaka kumi na sita, na ni mjamzito, amevaa matambara na amejitwika mikono kichwani huku akilia. Picha tuliyoipata inadhihirisha mazingira ya kukosa tumaini na hali ya umaskini.Mwanamke wa pili ilisemekana kuwa alikuwa amevalia vizuri, amebeba mtoto mgongoni lakini pia alikuwa akilia kwa uchungu, kuashiria kuwa ana mambo yanayomhangaisha kisaikolojia licha ya kuwa na uwezo. Mwanamke wa tatu alikuwa amebeba mtoto mgongoni, kitambaa kikuu begani na tita la kuni kichwani. Hii ilituonyesha taswira ya mwanamke miongoni mwa jamii nyingi zenye utamaduni wa Kiafrika. Mama Ee ni tamthilia ya masaibu katika ndoa ya Mwavita na Kinaya. Mwavita aliolewa kasha akatumbukia kwenye lindi la matatizo yanayopatikana kwenye baadhi ya ndoa nyingi katika jamii zetu. Pia ni kilio cha Tenge dadake Mwavita aliyekuwa amepachikwa mimba na George, jambo lililosababisha kutimuliwa kwa Tenge kutoka shuleni. Mwandishi alitumia shairi la tarbia katika utangulizi wa kazi yake. Shairi hili ni ngonjera na pia aliwatumia wanawake hawa watatu akidhamiria kutuonyesha kuwa duniani kuna matabaka ya wenye nguvu na wanyonge. Tabaka la wanyonge linajipa moyo wa subira, kutia juhudi na kupinga unyonyaji, kutafuta uhuru, kuungana kudai haki, kujitegemea na kukataa kutwikwa majukumu kupita kiasi, kugandamizwa, kupuuzwa na kupigwa.
  • 2. Katika kazi yake mwanamke amechorwa kuwa mwenye nguvu na mwanamapinduzi huku akipigania hadhi yake. Mwanamke anapigania ; haki, hadhi, usawa wa jinsia, uwezo wa kujiamulia na elimu ya kujikomboa. Kwa mfano Mwavita na Tenge wanakataa kuonewa na mwanamume. Hii ni kwa sababu wanaishi katika jamii ya nomoni inayoleta hali ya umme katika kiume kama njia ya kuwaonea wanawake. MAUDHUI KATIKA TAMTHILIA MAMA EE • MATATIZO YA UNYUMBA (Marital Problems) • UBAGUZI WA KIJANA WA JINSIA YA KIKE (DISCRIMINATION ANGAIST THE FEMALE YOUTH) • NAFASI YA MILA NA DESTURI KATIKA NDOA (ROLE OF CULTURAL PRACTICES IN MARRIAGE) • UMOJA WA WANAWAKE (THE UNITY OF WOMEN) •