1. Mabadiliko
Upatikanaji wa Fedha za Mradi
Kilimo cha Wakulima Wadogo
Mradi unafadhiliwa na kitengo cha maendeleo cha kimataifa Tabianchi, Kilimo na
Wadogo Kinachozingatia Usalama
wa Tabianchi
cha nchi ya Uingereza (DfID) pamoja na wakala wa kimataifa
wa maendeleo ya watu wa Denmark (DANIDA) kupitia kuondoa Umasikini
programu ya uwajibikaji Tanzania “AcT”.
Kilimo cha wakulima wadogo wadogo kinacho
zingatia usalama wa tabianchi kinahusisha njia Mradi huu unatekelezwa na:
mbalimbali za kilimo, njia ambazo huwawezesha
wakulima wa jinsia zote wanaolima chini ya hekta
www.actionaid.org/tanzania
mbili kuweza kukabiliana na changamoto za
admin.tanzania@actionaid.org
upatikanaji wa chakula, maendeleo na kukabiliana
na mabadiliko ya tabianchi.
Jambo kubwa ni kuboresha rutuba kwenye udongo MJUMITA (Mtandao wa Jamii
na kuimarisha uhifadhi wa unyevunyevu kwenye wa Usimamizi wa Misitu
udongo. Pia kuwahimiza wakulima kutumia njia Tanzania): www.mjumita.org
nzuri za kilimo kama vile kupanda mbegu bora kwa mjumitaorg@mjumita.org
umbali unao kubalika, kupunguzia miche na kung’oa Tanzania Forest Conservation
magugu. Group (Shirika la Kuhifadhi
Misitu ya Asili Tanzania):
www.tfcg.org tfcg@tfcg.org
Eneo la Mradi
Ramani ya vijiji sita vya maradi katika wilaya ya Kilosa na Tanzania Organic Agricultural
Chamwino.
Movement: www.kilimohai.
org toam@kilimohai.org
MVIWATA (Mtandao wa
Vikundi vya Wakulima
Tanzania): www.mviwata.org
mviwata@morogoro.net
Kwa maelezo zaidi;
Tembelea tovuti ya mradi:
www.tfcg.org/ccap.html
Au wasiliana na:
Mkurugenzi Mtendaji, TFCG Kuwaweka wakulima wadogo
S.L.P. 23410, Dar es Salaam
Simu:+255 22 2669007 wadogo katikati ya sera na
utekelezaji wa sera yenyewe
2. Mabadiliko Tabianchi na Wakulima Tanzania ipo hatarini kushindwa kupambana na Shughuli za Mradi
Wadogo Tanzania. mabadiliko tabianchi hasa katika sekta ya kilimo.
Ili kufikia lengo la mradi, shughuli zifuatazo
Wakulima wadogo wadogo wanatakiwa kupewa Mabadiliko tabianchi kwa sasa kama vile ukame zitatekelezwa:-
kipaumbele katika sera na katika utekelezaji wa sera na mafuriko, tayari yamesababisha gharama
za Tanzania ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya ✓ ujenga uwezo wa wanachama na watumishi
K
kubwa za kiuchumi Tanzania. Kwa mwaka matukio
tabianchi. wa mitandao ya kitaifa ya vikundi vya wakulima
hayo hugharimu zaidi ya asilimia moja ya pato la
wadogo wadogo Tanzania (MVIWATA) na
Kilimo ni njia kuu ya Tanzania kukabiliana na taifa na yamekua yakitokea mara kwa mara, hivyo
mabadiliko ya tabianchi na kupunguza uzalishaji wa mtandao wa jamii wa usimamizi misitu Tanzania
hupunguza malengo marefu ya ukuaji wa chumi na
hewa ukaa. (MJUMITA) kushirikiana kikamilifu kuhimiza kilimo
kuadhiri maisha ya mamilion ya watu (Uchumi wa
cha wakulima wadogo wadogo kinachozingatia
Wakulima wadogo wadogo wataathirika/ Mabadiliko Tabianchi , DfID 2011).
usalama wa tabianchi.
wanaadhirika zaidi na adhari za mabadiliko tabianchi.
Mradi ✓ afiti za njia bora juu ya kilimo cha wakulima
T
Mabadiliko ya matumizi ya ardhi, hasa ufyekaji
wa misitu utokanao na kilimo cha kuhamahama, Maelezo ya jumla ya Mradi wadogo wadogo kinachozingatia usalama wa
ni chanzo kikubwa cha uzalishaji wa hewa ukaa Mradi huu ni wa ubia kati ya mashirika matano yasio tabianchi Tanzania.
Tanzania.
ya kiserikali.Unahusisha uraghibishi katika ngazi Kujengea uwezo wakulima katika vijiji sita
✓
Sera na kanuni za uwekezaji na kilimo vinatoa ya taifa na maonyesho ya njia mbalimbali za kilimo kutekeleza na kuonyesha kwa vitendo kilimo
kipaumbele kwa kilimo kikubwa cha kutumia hifadhi ndani ya vijiji vitatu vilivyo ukanda wa ukame
mashine zenye kutumia nishati ya mafuta na chenye kinacho zingatia usalama wa tabianchi.
katika wilaya ya Chamwino na vijiji vitatu vilivyopo
lengo la kuongeza uzalishaji na kukuza masoko ya ✓ utumia vyombo vya habari na kushirikiana na
k
maeneo ya milimani katika wilaya ya Kilosa. Mradi
mazao. Wakati njia hii inaweza kuongeza uzalishaji
umeanza Octoba 2012 na utakwisha Disemba 2014. viongozi wa kuchaguliwa kuweza kuhamasisha
kwa kipindi kifupi, pia inaongeza uwezekano wa
wakulima wadogo kuwa masikini na kuathiriwa zaidi uundwaji na utekelezaji wa sera zinazosaidia
Lengo la Mradi
na mabadiliko tabianchi yanayotokana na ongezeko kilimo kinachozingatia usalama wa tabianchi.
Lengo la mradi ni kupunguza umasikini miongoni
la hewa ukaa itokanayo na matumizi tegemezi ya mwa wakulima wadogo Tanzania na kuwajengea
nishati ya mafuta, sambamba na kuongezeka kwa uwezo wa kukabiliana na mabadiliko tabianchi ikiwa
uharibifu wa misitu kwenye maeneo ya wakulima
ni pamoja na kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa
wadogo waliohamishwa kupisha wakulima wakubwa
na kwenye ufunguzi wa mashamba mapya. kwa kuboresha njia za kilimo.